Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mdau wa maendeleo mkoani Iringa Elia Kitomo amekabidhi mifuko 10 ya simenti katika shule ya Msingi Ibogo inayopo kijiji cha Magubike kata ya Nzihi ndani ya jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Kitomo ametekeleza ahadi hiyo aliyoitoa katika mahafali yaliyopita shuleni hapo akiwa mgeni rasmi akimuwakilisha Mbunge wa Kalenga Mh. Jakson Kiswaga ambapo Moja ya ahadi alizotoa ilikuwa ni kukabidhi Mifuko ya Cement kwa ajili ya kukarabati shule hiyo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kiukweli hiki kinachofanya ni kuunga mkono jitihada za Rais wetu hususani katika kuchochea maendeleo mjini na vijijini na mimi kama mdau wa maendeleo ni jukumu langu hususani nilikuja hapa kumuwakilisha Mbunge wa Kalenga Mh. Kiswaga hivyo ninawashauri wadau wengine wa maendeleo kuunga mkono juhudi za serikali” Amesema Kitomo