Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Umeomba ruksa katika kituo chako cha kazi kule Shinyanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeomba ruksa katika kituo chako cha kazi kule Shinyanga?
Kwahiyo? Wewe ndo uliishamalizika, ulichezea shilingi chooni ukaamua kuwa mvulana, ukazidiwa na mabinti kama akina Peneza!
We kajamaa huna mvuto hata mwonekano wako ni wa hovyo upo kama una kwashakooNdugu Elia Nakusalimu!!!
Ujumbe Wangu Kwako!
Kwanza Hongera kwa Kuchukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Buyungu,Ni dhahiri Umejitafakari na kuona Uwezo,Nia na Uthubutu unao wakutosha kuhimili Vurugu,Fujo na karaha zote za Kusaka Ubunge, HONGERA SANA.
Ndugu Elia Unakumbuka Ule Uchaguzi wa Marudio??ukiwa CDM, Nikweli Ulikuwa na Upepo na Ulionekana kuwa Tuna kwenye Vyama vya Siasa,Ukajikuta Umekuwa Maarufu kuliko shilingi ya Nyerere, bahati Mbaya Hukuju UMARUFU NI HARUFU kila sehemu Hupenya.
Ukapenya Kwenye Zile Balozi Maarufu,Wanaharakati Wakawa Marafiki ukasifika na Kusikika Elia kijana Mchachali,Kote Ukavuma Hukuju kuwa Ng'oma ikivuma Sana imekaribia kupasuka.Hahaha
Ukazidiwa akili tamaa na Uchu vikakugubika Masikini,Ukasahau Kuwa siasa hazina Mwema,Shetani mwenyewe huitaji siasa,Rejea kisa Cha Musa alivyo kufa,kisa Cha Ayubu pamoja na Visa vingi Kama Hivyo,Wazungu husema "Don't trust anybody and Suspect all"Msemo huu ulikupita Kaka
Nutaendelea Kaka...
Huoni hata aibu
Kiliba tumbo kakaWe kajamaa huna mvuto hata mwonekano wako ni wa hovyo upo kama una kwashakoo
Kwani wew ulipo na unaposhabikia ulihongwa. Au Ulitaka awe Chadema kuugulia maumivu, akiwa na mawazo ya kurejesha makato kwa Mboweafisa mtendaji hicho cheo ulichohongwa hakijakutosha?
huyu alikua mbunge wa upinzani kabla ya kununuliwa??
tuanzie hapo kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeongea kwa jazba balaaWee kajamaa ww, utakula upumbavu wako...huwezi kuteuliwa hata iweje...yaan wee ni pimbi hatar...
Utachaguliwa na nani bidhaa ya mchina iliyofika bei na utajuta maisha yako yote yaliyobaki hapa duniani
Unaakili sana Wewe kama hua unapiga vyombo gonga mbili nitalipa.Aliwahenyesha kwa nguvu ya mabadiliko lakini si yeye
Hahahaaaaaaa duhWw dogo ni mshamba wa ajabu, kwa taarifa yako kuchukua fomu za ugombea unapaswa kwenda ukiwa umevaa sare ya chama. Hao waliokununua naona hawakukueleza utaratibu. Sasa subiri uone utakavyoenguliwa kwa kushindwa kujua sheria za chama kilichokununua.
Halafu wenzako wanasema huku jukwaani hamna wapiga kura, sasa ww unakuja kumpa nani taarifa humu?