Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajuaje kama ameonyesha uzalendo au labda hakuelewa!!!!!!!!
Kuna kiswahili na viswahiliSasa unampongeza kwa kuwa ' man of the match ' kama ulivyotuandikia au kwa kuongea Kwake Kiswahili badala ya ' Ung'eng'e ' alioulizwa?
Halafu katika lugha ya Kiswahili hatuna neno ' Ongera ' bali tuna neno ' Hongera '.
Ungesikiliza swali.. Na alivyojibu ungejua kaeleweka au laaa... Kajibu sahihi kabisa.....unajuaje kama ameonyesha uzalendo au labda hakuelewa!!!!!!!!
Akuwekee nani!?google huko acha uvivu!!Wekeni basi hiyo clip ya mahojiano
ZambiaTunakutana na nani kwenye semi final.