Kwani mpaka sasa yule Skudu Makudubela mliyemnunua kutoka Gallants ana goli ngapi. Tuanzie hapo kwanza achana na Chama, Baleke na MkudeMpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu kuusika kabla ya goli?.
Mpanzu ni machachari sio hatari ana work rate kubwa tu kama Kibu wanakupa nishati ya kutosha kwenye third party ya mpinzani ila kwenye kumi na nane ndani ya box sio mbunifu, sio mtulivu hana target Bora.
Mpanzu ni overrated