Elias Mpanzu ni Kibu Denis aliyechangamka

Kwani mpaka sasa yule Skudu Makudubela mliyemnunua kutoka Gallants ana goli ngapi. Tuanzie hapo kwanza achana na Chama, Baleke na Mkude
 
Elias? Simba hatuna mchezaji anayeitwa elias huyo mchezaji hatuna kwa hakika hatuna mamdogo.
 
Reactions: BRN
Jana alikuwa anarukaruka tu kama maharage jikoni,,walivyokuwa wanamuimba utadhani ni bonge la mchezaji kumbe ni kibu Denis aliyechangamka,,
Ndio kwanza ameanza, huyo ni wa kupewa muda amekaa muda mrefu bila kucheza so lazima performance ishuke
 


 
Ukweli usemwe output ya Mpanzu ni mbovu sana.
 
Ellias Mpanzu ndio nani..acha kuchafua majina ya watu.
 
Eti unajua mpira 🤣🤣🤣
Mashabiki maandazi mna shida sana.
Yeye anacheza mpira kwa maelekezo ya Mwalimu wake. Sio kwa kelele na maelekezo ya Keyboard fans kama wewe
 
Huyu mjinga anafanya propaganda ambayo sio muda baadhi ya mashabiki wapuuzi wa Simba wataambukizwa.

Wameambukizwa kwa Joshua Mutale na sasa ana hati hati ya kuendelea kuwepo.Sijui kwa nini hii timu mtu akiwa na energy hapendwi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mpanzu ni gongo kwenye chupa ya Konyagi
 
Hamna mchezaji mle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…