Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa ajili ya majaribio lakini hakufanikiwa na kurudi kwao Congo.
Taarifa mpya ni kwamba Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club, kwa mkataba wa miaka mitatu na atakuwepo Benjamin Mkapa Jumapili hii kutazama mchezo wa marudiano kati ya Simba Sports Club dhidi ya Al Ahli Tripoli.
Soma zaidi:
=> Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo
=> Mpanzu alilia Simba baada ya kufeli KRC Genk, hataki tena ucheza AS Vita