Tetesi: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu

Yeah, na hata kama amesajiliwa basi kutangazwa itabidi wasubiri mpaka Januari wakati dirisha dogo litakapofunguliwa
Sidhani kama kuna shida kutangazwa, ila kucheza ndio haruhusiwi mpaka dirisha la usajili lifunguliwe.
 
Yanga Walisha taarifiwa mapema Sana na uongozi wa mchezaji wakati Mchezaji na KRC Genk walipo shindwana ila kwasasa Yanga hawatumii Tena mfumo wa mawinga. mfumo wa Gamond
Mabeki wa Yanga ndio Mawinga, waka washauri wawasiliane na Simba wanaweza Fanya biashara.
Ila kwa Yanga ya Gamondi, wachezaji wa kukimbia kimbia hovyo pembeni, nadhani hawana nafasi kwenye kikosi chake. Jesus Moloko ni shahidi mzuri wa huu mfumo.
 
Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa ajili ya majaribio lakini hakufanikiwa na kurudi kwao Congo.

Taarifa mpya ni kwamba Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club, kwa mkataba wa miaka mitatu na atakuwepo Benjamin Mkapa Jumapili hii kutazama mchezo wa marudiano kati ya Simba Sports Club dhidi ya Al Ahli Tripoli.
Soma zaidi:
=> Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo
=> Mpanzu alilia Simba baada ya kufeli KRC Genk, hataki tena ucheza AS Vita
 
Isij

Isijekuwa kama ya Manzoki.
 
Mfumo wa kusajili ulishafungwa. Sasa kolo limetumia mfumo gani kumsajili?
Rage alishasema makolo ni mambumbumbu,nimeanza kuamini sasa.
 
Back
Top Bottom