Tetesi: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu

Yeah, na hata kama amesajiliwa basi kutangazwa itabidi wasubiri mpaka Januari wakati dirisha dogo litakapofunguliwa
Sidhani kama kuna shida kutangazwa, ila kucheza ndio haruhusiwi mpaka dirisha la usajili lifunguliwe.
 
Ila kwa Yanga ya Gamondi, wachezaji wa kukimbia kimbia hovyo pembeni, nadhani hawana nafasi kwenye kikosi chake. Jesus Moloko ni shahidi mzuri wa huu mfumo.
 
 
Isij
Isijekuwa kama ya Manzoki.
 
Mfumo wa kusajili ulishafungwa. Sasa kolo limetumia mfumo gani kumsajili?
Rage alishasema makolo ni mambumbumbu,nimeanza kuamini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…