Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Si makolo mnahitaji mshambuliaji?Sijui kwa nini Musonda mnamchukulia poa. Ni mmoja wa wachezaji ninaowakubali pale utopoloni
Mchukueni sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si makolo mnahitaji mshambuliaji?Sijui kwa nini Musonda mnamchukulia poa. Ni mmoja wa wachezaji ninaowakubali pale utopoloni
Mchukueni kabakisha miezi mitano.Sijui kwa nini Musonda mnamchukulia poa. Ni mmoja wa wachezaji ninaowakubali pale utopoloni
Musonda mkataba wake unaisha Dec kwahiyo Uto wakitaka, hawawezi kushindwa kuvunja mkataba uliobaki miezi 4, hata kama kwa mkopo kama ilivyo kawaida yao. Hawa Umbwa wapo serious wakati wengine tumebaki na porojo tu!Halafu wanakata na kuondoaa jina la mchezaji gani mgeni ?
Shida ni kwamba kwasasa mfumo wa Yanga, hautumii Wingers asili ambao kazi yao ni kukimbiza na kupiga cross pekee.Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium.
Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na ameonesha kuvutiwa na project ya Yanga.
Soma Pia:
Inasemekana Engineer ameomba atoe majibu kesho kabla ya saa 5 asubuhi ili apate muda wa kuuliza benchi la ufundi kama kuna haja ya kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji na endapo benchi litasema kuna uhutaji basi atatua kabla ya weekend ya kesho kutwa.
Nimesoma jina lako nikagundua upo kwenye kazi yako (comedy)Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium.
Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na ameonesha kuvutiwa na project ya Yanga.
Soma Pia:
Inasemekana Engineer ameomba atoe majibu kesho kabla ya saa 5 asubuhi ili apate muda wa kuuliza benchi la ufundi kama kuna haja ya kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji na endapo benchi litasema kuna uhutaji basi atatua kabla ya weekend ya kesho kutwa.
Chama.Halafu wanakata na kuondoaa jina la mchezaji gani mgeni ?
Utani tu ndugu yangu, siko serious 😂Dah umeongea Kwa hisia sana Hadi nimecheka kinoma [emoji1787]
Basi tutakuwa tunakuja na viwembe kwenye bukta.. 😂😄na hivyo viwanja tff haivitaki..
Kwanza angeua mchezaji Yanga pale DRC hasa As Vita ni km kwao tu..maana hata kocha wa zamani yuko pale Raoul ShunguYanga hatutaki mchezaji mwingine tulio nao wanatutosha. Huyoo mpanze wapelekewe makolo fc.
Si makolo mnahitaji mshambuliaji?
Mchukueni sasa.
Nina uhakika Hersi akimwambia anamuhitaji hataondoka hata kama Simba itampa dau kubwa zaidi. Wakati mwingine wachezaji wanaangalia project husika inaweza kumpa nini nje ya marupurupu.Mchukueni kabakisha miezi mitano.
Hersi hawezi mzuia Musonda, we nenda na tena mchezaji akibakisha miezi chini ya sita anaruhusiwa kuongea na timu yoyote. Nendeni tu wazee bil 7,tena yule hamlipi signing fees mnamsubiria January mnamchukua.Nina uhakika Hersi akimwambia anamuhitaji hataondoka hata kama Simba itampa dau kubwa zaidi. Wakati mwingine wachezaji wanaangalia project husika inaweza kumpa nini nje ya marupurupu.
Ila hili nimeona kwa muda sasa mnamchukulia poa sana yule mshkaji. Kipindi Mayele yupo, Musonda alikuwa anaenda naye sambamba vizuri tu hadi kuna siku niliwahi kusema Mayele anamuonea gere.
Khalid Aucho anatoa Pasi alafu anaiomba tenaSijui kwa nini Musonda mnamchukulia poa. Ni mmoja wa wachezaji ninaowakubali pale utopoloni
Tetesi tuKuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium.
Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na ameonesha kuvutiwa na project ya Yanga.
Inasemekana Engineer ameomba atoe majibu kesho kabla ya saa 5 asubuhi ili apate muda wa kuuliza benchi la ufundi kama kuna haja ya kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji na endapo benchi litasema kuna uhutaji basi atatua kabla ya weekend ya kesho kutwa.
Kupata kichekesho Piga KMC!Kichekesho iki Nipige ngapi ngapi kirudie tena 😂😂😂,
Viongozi wa Simba ni wajinga sana
Rudia tena, unasemaje?Yanga club maskini pesa watatoa wap?yanga hawana pesa
Inaonyesha bilioni 7 imekuuma sana. Mwanaume hautakiwi kuhesabu pesa iliyoko mfukoni mwa mwanaume mwenzio au kuumia kwa sababu ya matumizi yake. Kama tunapigwa mtuache, tumeipenda wenyewe.Hersi hawezi mzuia Musonda, we nenda na tena mchezaji akibakisha miezi chini ya sita anaruhusiwa kuongea na timu yoyote. Nendeni tu wazee bil 7,tena yule hamlipi signing fees mnamsubiria January mnamchukua.
Sihesabu nawasifia au nimekosea kiwasifia. Kwani hiyo bil saba si ya timu au ni mtu binafsi........?Inaonyesha bilioni 7 imekuuma sana. Mwanaume hautakiwi kuhesabu pesa iliyoko mfukoni mwa mwanaume mwenzio au kuumia kwa sababu ya matumizi yake. Kama tunapigwa mtuache, tumeipenda wenyewe.