Tetesi: Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii

Shida ni kwamba kwasasa mfumo wa Yanga, hautumii Wingers asili ambao kazi yao ni kukimbiza na kupiga cross pekee.

Kazi ya kukimbiza na kupiga cross wanafanya FULL BACKS kina Yao na Boka.

Huyo Mpanzu anacheza winger au attacking midfielder???

Hata kwenye attacking midfielder Kuna kina Chama, Pacome, Aziz,Maxi, anacheza wapi??
 
Nimesoma jina lako nikagundua upo kwenye kazi yako (comedy)
 
Timu zinazocheza michuano ya CAF hatua ya awali, mfumo wa usajili si tayari umeshafungwa na timu ina mchezo wiki hii wa klabu bingwa?
Labda kama ingizo la dirisha dogo ama atumike kwenye michuano ya ndani kwa dirisha hili.
 
Si makolo mnahitaji mshambuliaji?
Mchukueni sasa.

Mchukueni kabakisha miezi mitano.
Nina uhakika Hersi akimwambia anamuhitaji hataondoka hata kama Simba itampa dau kubwa zaidi. Wakati mwingine wachezaji wanaangalia project husika inaweza kumpa nini nje ya marupurupu.

Ila hili nimeona kwa muda sasa mnamchukulia poa sana yule mshkaji. Kipindi Mayele yupo, Musonda alikuwa anaenda naye sambamba vizuri tu hadi kuna siku niliwahi kusema Mayele anamuonea gere.
 
Hersi hawezi mzuia Musonda, we nenda na tena mchezaji akibakisha miezi chini ya sita anaruhusiwa kuongea na timu yoyote. Nendeni tu wazee bil 7,tena yule hamlipi signing fees mnamsubiria January mnamchukua.
 
Tetesi tu
 
Inaonyesha bilioni 7 imekuuma sana. Mwanaume hautakiwi kuhesabu pesa iliyoko mfukoni mwa mwanaume mwenzio au kuumia kwa sababu ya matumizi yake. Kama tunapigwa mtuache, tumeipenda wenyewe.
 
Inaonyesha bilioni 7 imekuuma sana. Mwanaume hautakiwi kuhesabu pesa iliyoko mfukoni mwa mwanaume mwenzio au kuumia kwa sababu ya matumizi yake. Kama tunapigwa mtuache, tumeipenda wenyewe.
Sihesabu nawasifia au nimekosea kiwasifia. Kwani hiyo bil saba si ya timu au ni mtu binafsi........?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…