Elimika ndugu

Elimika ndugu

ngasha

Senior Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
145
Reaction score
74
1474893084781.png
.

Hizo ndizo kauli za watu walio elimika ambao wana-focus katika maendeleo Sikh zote

Twapaswa kujifunza kupitia wao usi waige walio-fail maisha wao hskuna watacho kufundisha zaidi ya kuponda watu na kujadili maisha ya watu Mara oooh flani Freemason Mara muuaji Mara anatoa kafara watu n.k bila kufikiria mipango chanya itayo mfanyanae afike pale

ELIMIKA NDUGU: La sivyo utaishia kupiga majungu na kuwa na maisha ya magumu milele

Fanyakazi, Jitume, pia Ambatana na walio fanikiwa
END
 
Walio feli maisha ndo kazi yao kujadili watu

#Ni mtazamo tuu
 
Exactly!! Imekaa poa.

The greatest University is the collection of Books.
 
Back
Top Bottom