Habari,nadhani wengi sio wageni na hako katopic,tumekuwa tukifanya sana midahalo kipindi cha primary hata secondary..ila sidhani kama hadi leo kuna muafaka uliopatikana kuwa kimoja wapo ni bora kuliko kingine.!,ikiwa wewe kama wewe utamu wa elimu umeuonja na utaumu wa pesa umeuonja,Em thibitisha kipi kipo juuuu...
nawasilisha.
nawasilisha.