and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Sep 19, 2023 #1 1. Aina ya shule ( madawati, vitabu nadra). 2. Ufundishaji (idad kubwa ya wanafunzi Vs idadi ya walimu hususani wa Sayansi). 3. Matokeo ya mtihani wa kitaifa awamu ya elimu bure..maslahi ya walimu hayazingatiwi unategemea chochote? Mpwayungu Village
1. Aina ya shule ( madawati, vitabu nadra). 2. Ufundishaji (idad kubwa ya wanafunzi Vs idadi ya walimu hususani wa Sayansi). 3. Matokeo ya mtihani wa kitaifa awamu ya elimu bure..maslahi ya walimu hayazingatiwi unategemea chochote? Mpwayungu Village