mkamandume
Senior Member
- Dec 31, 2016
- 116
- 120
Wadau mliosoma laugha ya Kiswahili namoba msaada! Nimeshindwa kutofatisha kati ya Elimu bule na Elimu bila malipo tofauti zake nini. Hakika nimeshindwa kumuelewa waziri wa tamisemi alivyonena kwamba serikali haijawahi kusema Elimu bule isipokuwa ilisema Elimu bila malipo! Sjui amemaanisha nini huyu muheshimiwa.