Tetesi: Elimu bure vs Elimu bila malipo

Tetesi: Elimu bure vs Elimu bila malipo

mkamandume

Senior Member
Joined
Dec 31, 2016
Posts
116
Reaction score
120
Wadau mliosoma laugha ya Kiswahili namoba msaada! Nimeshindwa kutofatisha kati ya Elimu bule na Elimu bila malipo tofauti zake nini. Hakika nimeshindwa kumuelewa waziri wa tamisemi alivyonena kwamba serikali haijawahi kusema Elimu bule isipokuwa ilisema Elimu bila malipo! Sjui amemaanisha nini huyu muheshimiwa.
 
Haha wanasiasa bhana, anyway sio kwamba Simbachewene kaongea tu hapo kuna utofauti tena ukitaka kujua kuna tofauti kumbuka mgombea wa urais wa CCM 2015 alisema "ninaposema bure namaanisha bure" maana yake ni kwamba kuna bure isiyo bure (yaani ni karibu na bure/inagharama fulani)

Elimu bure (Free Education), Elimu inatolewa bila gharama yoyote kama vile ada, vitabu, daftari, chaki, chakula nk.

Elimu bila malipo (Tuition free education), yaani hapa kuna gharama serikali inachangia kama ada, vitabu nk. na gharama zingine mzazi/ mlezi huchangia yaani ni kama sharing cost education system.
 
Wadau mliosoma laugha ya Kiswahili namoba msaada! Nimeshindwa kutofatisha kati ya Elimu bule na Elimu bila malipo tofauti zake nini. Hakika nimeshindwa kumuelewa waziri wa tamisemi alivyonena kwamba serikali haijawahi kusema Elimu bule isipokuwa ilisema Elimu bila malipo! Sjui amemaanisha nini huyu muheshimiwa.

!
!
Elimu bure, bure kabisa yaani hakuna kitu chochote anachojifunza mwanafunzi hapo, bure ya free, free indeed free of knowledge
 
Back
Top Bottom