Haha wanasiasa bhana, anyway sio kwamba Simbachewene kaongea tu hapo kuna utofauti tena ukitaka kujua kuna tofauti kumbuka mgombea wa urais wa CCM 2015 alisema "ninaposema bure namaanisha bure" maana yake ni kwamba kuna bure isiyo bure (yaani ni karibu na bure/inagharama fulani)
Elimu bure (Free Education), Elimu inatolewa bila gharama yoyote kama vile ada, vitabu, daftari, chaki, chakula nk.
Elimu bila malipo (Tuition free education), yaani hapa kuna gharama serikali inachangia kama ada, vitabu nk. na gharama zingine mzazi/ mlezi huchangia yaani ni kama sharing cost education system.