Naweka kambi hapa.Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi? Huu unaitwa mkutano wa 11 , kuanzia lini? Mwaka huu?
Kwa kadri nijuavyo ni kwamba Nyerere alituongoza miaka 24 (ukigawanya katika awamu ya miaka mitano mitano unapata awamu 4, bunge la awamu ya miaka mitano ya kwanza tunasema ni mkutano wa kwanza wa bunge, kwa hiyo kila bunge la awamu ya miaka mitano inahesabika kama mkutano wa bunge, Kwa Nyerere tulikuwa na mikutano minne ya bunge).Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi? Huu unaitwa mkutano wa 11 , kuanzia lini? Mwaka huu?
Sina hakika ila nadhani ni pale Bunge huwa linakula kiapo kwa maana ya wabunge wanakula kiapo baada ya uchaguzi mkuu, 1965, 1970, 1975, 1980, 1985, 1990, 1995, 2000, 2005, 2010, 2015...Kwa hiyo Bunge lijalo la uchaguzi mkuu wa 2020 litakuwa la 12...Sina hakika lakini ni mawazo yangu tu.Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi? Huu unaitwa mkutano wa 11 , kuanzia lini? Mwaka huu?
Kuanzia awamu hiiMikutano ya bunge inahesabiwa vipi? Huu unaitwa mkutano wa 11 , kuanzia lini? Mwaka huu?
[emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji736]Najaribu kutengeneza dhana.... kuhusu bunge
1960 - 65 Mkutano wa Bunge la 1 hapa tulikuwa na bunge la Tanganyika
Ila baada ya muungano 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar
Awamu ya JKN
1965 - 70 Mkutano wa bunge la 1
1970 - 75 Mkutano wa bunge la 2
1975 - 80 Mkutano wa bunge la 3
1980 - 85 Mkutano wa bunge la 4
Awamu ya AHM
1985 – 90 Mkutano wa bunge la 5
1990 – 95 Mkutano wa bunge la 6
Awamu ya BWM
1995 – 2000 Mkutano wa bunge la 7
2000 – 05 Mkutano wa bunge la 8
Awamu ya JK
2005 – 10 Mkutano wa bunge la 9
2010 – 15 Mkutano wa bunge la 10
Awau ya JPM
2015 – 20 Mkutano wa bunge la 11
Sina mahali nimedesa, ila najaribu kufukiri kwa mtiririko hasa kwa kuwa linaitwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Umeelewaje? nifahamishe na mimi,maana majibu yametolewa na wachangiaji hapo juu ila ni tofauti tofauti,na wengi wamejibu kwa mitazamo yao tu,Hata Mimi nimeelewa sasa, asanteni
Shana elezea kwa undani kidogo! from mkutano No1 to 11Kuanzia awamu hii
Nimekuelewa sanaNajaribu kutengeneza dhana.... kuhusu bunge
1960 - 65 Mkutano wa Bunge la 1 hapa tulikuwa na bunge la Tanganyika
Ila baada ya muungano 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar
Awamu ya JKN
1965 - 70 Mkutano wa bunge la 1
1970 - 75 Mkutano wa bunge la 2
1975 - 80 Mkutano wa bunge la 3
1980 - 85 Mkutano wa bunge la 4
Awamu ya AHM
1985 – 90 Mkutano wa bunge la 5
1990 – 95 Mkutano wa bunge la 6
Awamu ya BWM
1995 – 2000 Mkutano wa bunge la 7
2000 – 05 Mkutano wa bunge la 8
Awamu ya JK
2005 – 10 Mkutano wa bunge la 9
2010 – 15 Mkutano wa bunge la 10
Awau ya JPM
2015 – 20 Mkutano wa bunge la 11
Sina mahali nimedesa, ila najaribu kufikiri kwa mtiririko hasa kwa kuwa linaitwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Inaweza isiwe sahihi sana kama spika ataacha uspika kwa sababu yoyote ile ikiwemo kifo...Unaposikia bunge la 11, inamaanisha bunge la spika wa 11 tokea tupate uhuru. Bunge lina mikutano minne kwa kila mwaka, kwa hiyo inamaanisha bunge linamikutano 20 ndani ya miaka mitano. Kila mkutano unavikao kadhaa, na hivyo vikao ni zile siku wanazokaa kila siku katika mkutano uhisika. Kwa hiyo, unaweza kusema kwa mfano bunge la 11, kikao cha 20, mkutano wa ....., umekamilika jana.
Nipo tayari kusahihishwa.
... uko sahihi Kiongozi. Asante sana kwa ufafanuzi murua.Najaribu kutengeneza dhana.... kuhusu bunge
1960 - 65 Mkutano wa Bunge la 1 hapa tulikuwa na bunge la Tanganyika
Ila baada ya muungano 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar
Awamu ya JKN
1965 - 70 Mkutano wa bunge la 1
1970 - 75 Mkutano wa bunge la 2
1975 - 80 Mkutano wa bunge la 3
1980 - 85 Mkutano wa bunge la 4
Awamu ya AHM
1985 – 90 Mkutano wa bunge la 5
1990 – 95 Mkutano wa bunge la 6
Awamu ya BWM
1995 – 2000 Mkutano wa bunge la 7
2000 – 05 Mkutano wa bunge la 8
Awamu ya JK
2005 – 10 Mkutano wa bunge la 9
2010 – 15 Mkutano wa bunge la 10
Awau ya JPM
2015 – 20 Mkutano wa bunge la 11
Sina mahali nimedesa, ila najaribu kufikiri kwa mtiririko hasa kwa kuwa linaitwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nadhani uko sahihi, nimehesabu miula inakuja 11! Ngoja wengine wajeSina hakika ila nadhani ni pale Bunge huwa linakula kiapo kwa maana ya wabunge wanakula kiapo baada ya uchaguzi mkuu, 1965, 1970, 1975, 1980, 1985, 1990, 1995, 2000, 2005, 2010, 2015...Kwa hiyo Bunge lijalo la uchaguzi mkuu wa 2020 litakuwa la 12...Sina hakika lakini ni mawazo yangu tu.
Unaposema "Unaposikia bunge la 11, inamaanisha bunge la spika wa 11 tokea tupate uhuru." yani unamaanisha mwakani Spika akiwa mtu yeyote apart from JOB Ndugai unamaanisha litaitwa bunge la 12?.. Hapo tu andiko lako linakosa uhalali wa kuendelea kusoma ulichokiandikaUnaposikia bunge la 11, inamaanisha bunge la spika wa 11 tokea tupate uhuru. Bunge lina mikutano minne kwa kila mwaka, kwa hiyo inamaanisha bunge linamikutano 20 ndani ya miaka mitano. Kila mkutano unavikao kadhaa, na hivyo vikao ni zile siku wanazokaa kila siku katika mkutano uhisika. Kwa hiyo, unaweza kusema kwa mfano bunge la 11, kikao cha 20, mkutano wa ....., umekamilika jana.
Nipo tayari kusahihishwa.
Nadhani uko sahihi, angalia post#7 1954Najaribu kutengeneza dhana.... kuhusu bunge
1960 - 65 Mkutano wa Bunge la 1 hapa tulikuwa na bunge la Tanganyika
Ila baada ya muungano 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar
Awamu ya JKN
1965 - 70 Mkutano wa bunge la 1
1970 - 75 Mkutano wa bunge la 2
1975 - 80 Mkutano wa bunge la 3
1980 - 85 Mkutano wa bunge la 4
Awamu ya AHM
1985 – 90 Mkutano wa bunge la 5
1990 – 95 Mkutano wa bunge la 6
Awamu ya BWM
1995 – 2000 Mkutano wa bunge la 7
2000 – 05 Mkutano wa bunge la 8
Awamu ya JK
2005 – 10 Mkutano wa bunge la 9
2010 – 15 Mkutano wa bunge la 10
Awau ya JPM
2015 – 20 Mkutano wa bunge la 11
Sina mahali nimedesa, ila najaribu kufikiri kwa mtiririko hasa kwa kuwa linaitwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hili swali lilishawahi kujibiwa humu kwa usahihi kabisa ebu pitia huu uzi chini.Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi? Huu unaitwa mkutano wa 11 , kuanzia lini? Mwaka huu?
Hata ukihesabu ma spika wa bunge wa nchi hii hawajafika 11Unaposema "Unaposikia bunge la 11, inamaanisha bunge la spika wa 11 tokea tupate uhuru." yani unamaanisha mwakani Spika akiwa mtu yeyote apart from JOB Ndugai unamaanisha litaitwa bunge la 12?.. Hapo tu andiko lako linakosa uhalali wa kuendelea kusoma ulichokiandika