Uko sawa mkuuNipo tayari kurekebishwa,
Nadhani ni kama baraza la madiwani likiongozwa na Meya kwa hapa Tanzania nao huwa na mipango kwa ajili ya Halmashauri husika.
Thanks a lot! ingawa wikipedia ?????Mkuu Retired, pata vyote humu. Counties of Kenya - Wikipedia
Kwa kifupi, hizo ni serikali za majimbo.
thanksBaraza la madiwani hapa
Asante sana, uko sahihi. Lakini haziko chini ya Mkurugenzi, zenyewe zina jitosheleza.......na bajeti yao ...hawategemei mkurugenzi kuwagawia helaHizo ni Halmashauri. Hata Tanzania Halmashauri zinatunga Sheria zinazoitwa By-laws