Yeah uko sahihi wamefunga kwa mabus yote now hakuna speed zaid ya 85Speed governer hio ukizidisha 80km/h ndio inapiga makelele nadhani.
Nimesikia ma bus yamefungwa ving'amuzi na mamlaka husika though sina uhakika.
Juzi nilikuwa na safari na gari dogo private nikapigwa torch speed 87 lakini hapakuwa na kibao cha 50 Trafiki kaniambia speed limit ni 80 kwahiyo akanipiga faini. Swali langu hizi speed limit kwa gari za private nazo zinatumika kwa mujibu wa sheria?Yeah uko sahihi wamefunga kwa mabus yote now hakuna speed zaid ya 85
Juzi nilikuwa na safari na gari dogo private nikapigwa torch speed 87 lakini hapakuwa na kibao cha 50 Trafiki kaniambia speed limit ni 80 kwahiyo akanipiga faini. Swali langu hizi speed limit kwa gari za private nazo zinatumika kwa mujibu wa sheria?
Inawezekana aliset vibaya alarm ya saa kwenye gari
Hapana. Ni kwa ajili ya magari ya abiria.Juzi nilikuwa na safari na gari dogo private nikapigwa torch speed 87 lakini hapakuwa na kibao cha 50 Trafiki kaniambia speed limit ni 80 kwahiyo akanipiga faini. Swali langu hizi speed limit kwa gari za private nazo zinatumika kwa mujibu wa sheria?
Du Traffic walinipiga 30,000/= wakasema speed limit ya 80Km/h ni kwa gari zote haijalishi kuwa ni commercial au private.Hapana. Ni kwa ajili ya magari ya abiria.
Bus na trucks ndo mwisho 80km/h gari ndogo kama hakuna kibao elekezi 80km/h haikuhusuHizo zimefungwa kwa bus zote anatakiwa atembee mwisho 80 na akizidi 85 inapiga kelele pia sheria za nchi nzima zinahitaji utembee speed 80 tu