Elimu iheshimiwe kwa manufaa yake

Elimu iheshimiwe kwa manufaa yake

Hapa tunazungumzia "True education"
Neno ELIMU ni very wide in different perspective.
Tutakutana nalo kwenye kila angle ya Maisha yetu.
Zingatia Kuna formal na informal education.
Mifano ipo mingi Sana na Kuna wadau juu wameelezea

ELIMU mbaya zaid ni Ile ya kukariri notes na kwenda kujibia mitiani na kupata vyeti. Ni Bora zaidi kujifunza stadi za mikono.

NB.
"The beautiful thing about learning is that no one can take it away from you." - B.B. King.
 
Hao hao wanaoponda angalia wanavyosomesha watoto wao shule wanalipa gharama nyingi mno.
Basi na watoto wao wasisome wawe Kama wewe
 
Mkuu hapa unaongelea elimu ya ngazi ipi ?
Maana kwa Tertiary education ni practical oriented na watu wanatoka na ujuzi unaohitajika kwenye jamii moja kwa moja
View attachment 3115669
Sijasema VETA and the likes....matokeo yanaweza kuwa assessed by the end results..mbona wahitimu wanashindwa kujiajiri ..wote wanataka ku gamble na hizo nafasi chache za ajira?! Jibu ni simple haihitaji mathematics elimu waliyopata haijawachagiza wajue wapi pana fursa wapi not,in other words elimu waliyopata haiko relevant.!,. Its high time teaching na syllabus za west ziwe abandoned in my opinion hapo ndipo tunapofeli...tuwe blna syllabus zetu wenyewe kutokana na mazingira yetu. Mambo ya kujenga daraja kutokana na mazingira ya nje ikija mvua linabomoka yamepitwa na wakati. Essentially ninachotaka kusema ni kwamba tatizo sio practicals wanazopata wanafunzi bali how relevant it is kutokana na mazingira yetu...
 
Back
Top Bottom