PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Kama utakumbuka, miaka ya 2018 kurudi nyuma, refa alizingatiwa kama mchezaji wa ziada na ilipotokea akahusika kwa namna moja au nyingine, matokeo yoyote yalikuwa yanahesabika bila tatizo lolote.
Mpaka mwaka 2019, sheria ya refa kuwa sehemu ya mchezo iliondolewa hivyo, kwasasa ikitokea refa kagusa mpira na kusababisha goli, basi hilo goli halitohesabila, itaamuliwa kama fair play
Mpaka mwaka 2019, sheria ya refa kuwa sehemu ya mchezo iliondolewa hivyo, kwasasa ikitokea refa kagusa mpira na kusababisha goli, basi hilo goli halitohesabila, itaamuliwa kama fair play