Samahan ebu jaribu kufikiria pesa uliyotumia tangu unaanza darasa wa kwanza mpka hapo ulipo(masters au degree)umetumia milioni ngapi?
Mfano tu elimu ya chuo kikuu(undergraduate)mtu unatumia si chini ya milioni 10 kuweza kupata hiyo Elimu na bado masters si chini ya milioni sita sasa ukijaribu kuangalia di kama milion 15 unatumia katika kuwekeza kwenye elimu ambapo ungefnya vitu hata vingine lakin cha kushangaza mtu umetumia pesa kibaoo ajira unakosa tena hata ukihonga ajira usipate mimi nashauri kwa wale wanaowazia biashara na wanahisi wanaweza Elimu ya form four inatosha sana hizo Milioni 15 za degree na masters uziweke kwenye biashara ninamifano mingi ya rafik zangu ambao mpka sasa wananyumba zao,gari zao biashara zao na mambo kibao ya maendelea waliojitafutia mapeama sisi tukakomalia shule sasa hivi tunaipata pata chungu na tumewatia umasikini wazazi wameuza mpka viwanja mjini tusome lakini mtaji wote umekufa ola hahahaa mwenye ushauri au Maoni karibu tujadiri