Elimu inahitaji mtaji mkubwa sana

Elimu inahitaji mtaji mkubwa sana

MZIBHAZI

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
520
Reaction score
139
Samahan ebu jaribu kufikiria pesa uliyotumia tangu unaanza darasa wa kwanza mpka hapo ulipo(masters au degree)umetumia milioni ngapi?

Mfano tu elimu ya chuo kikuu(undergraduate)mtu unatumia si chini ya milioni 10 kuweza kupata hiyo Elimu na bado masters si chini ya milioni sita sasa ukijaribu kuangalia di kama milion 15 unatumia katika kuwekeza kwenye elimu ambapo ungefnya vitu hata vingine lakin cha kushangaza mtu umetumia pesa kibaoo ajira unakosa tena hata ukihonga ajira usipate mimi nashauri kwa wale wanaowazia biashara na wanahisi wanaweza Elimu ya form four inatosha sana hizo Milioni 15 za degree na masters uziweke kwenye biashara ninamifano mingi ya rafik zangu ambao mpka sasa wananyumba zao,gari zao biashara zao na mambo kibao ya maendelea waliojitafutia mapeama sisi tukakomalia shule sasa hivi tunaipata pata chungu na tumewatia umasikini wazazi wameuza mpka viwanja mjini tusome lakini mtaji wote umekufa ola hahahaa mwenye ushauri au Maoni karibu tujadiri
 
Ndio maana waelevu wanasema, " kama unaona elimu ni ghari basi jaribu ujinga".
Ha ha ha samahan lakn
 
"Elimu ni ufunguo wa maisha", ni neno la wahenga ambalo ni la kawaida sana lakini ukilifuatilia kwa umakini utagundua kwamba hiyo 15 million ambayo umeitumia ni kama umeshairudisha maana kuna vitu kibao vipya umepata ikiwemo uelewa wa mambo mbalimbali plus kufahamiana na watu.

Inabidi tubadili mtazamo kwamba unapokwenda chuo si kwa ajili ya ajira bali ni kukuza uelewa ambao ukiutumia vizuri utasababisha kupata hela na usijifunge kwenye unasoma kwa ajili ya kupata kazi ya kuajiriwa
 
Asnte kwa hoja yako tunaitaji michango kama yakoo mkuu asante sana walrngwa wanaona mchango wako
 
Ndio maana waelevu wanasema, " kama unaona elimu ni ghari basi jaribu ujinga".
Ha ha ha samahan lakn

hahahahahaha bila samahan nataman niujaribu huo ujinga then nione what will happen kaka
 
Back
Top Bottom