Elimu inayokosekana

Elimu inayokosekana

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
282
Reaction score
275
Elimu inayokosekana na inayowapoteza wengi katika maisha


Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana na hakuna sehemu ya kuipata hadi
Ujitambue mwenyewe ambapo elimu hiyo ni elimu ya kujitambua,


Tatizo lililopo katika elimu yetu ni kwamba tunasoma kwa kufuata taratibu za watu fulani, mfumo wa elimu tunaotumia
Ni wa mzungu , ili ujikomboe unatakiwa ujitambue, mzungu alileta elimu lakini haikuwa elimu ya kutufanya tujitegemee
Elimu tunayoipata kwenye shule zetu kuanzia ngazi ya chekechea hadi ngazi ya sekondari ni elimu ya lugha na kusoma na kuandika, kama ni hivyo kwa nini basi tuendelee kupoteza muda wingi kusumbukia kusoma na kuandika?.


Wanafunzi wanachukua hadi masomo 14 yote ayafanyie mtihani na anatakiwa kufaulu ni uwezo wa hali ya juu unaotumika kwa wanafunzi wanaofaulu

kufuatilia zaidi bonyeza hapa chini
Elisha Chuma: Elimu inayokosekana
 
Back
Top Bottom