Elimu ipo chuo chochote, uzito upo UDSM: Wanapewa kipaumbele kwenye ajira, maofisini asilimia kubwa ya vyeo vizito ni zao la UDSM

CEOs wa ABSA na AKIBA Commercial Bank ni zao la BCom UDSM pia.
 
Sasa kweli mhitimu wa yudomu akaongoze wasomi na wataalam wa NMB kweli? Yaani mhitimu wa computer au IT wa yudomu akaongoze jopo la wataalam TCRA?? acheni utani[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasoma comments hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachekaa hatariiu, woiiiiiih
 
Chuo na uwezo na uwezo wa MTU ni mambo mawili tofauti.

Unatazama titles zinazoonekana kuna watu hawaonekani Ila they are very smart katika career zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…