Elimu ipo chuo chochote, uzito upo UDSM: Wanapewa kipaumbele kwenye ajira, maofisini asilimia kubwa ya vyeo vizito ni zao la UDSM

Nlikuwa na mpango wa kuomba nafasi IFM
Kwa sasa nimegairi wacha nikajaribu nafasi yangu UDSM
 
Huwezi kufananisha chuo cha TAIFA vs Vyuo vya kata.

Waliowahi kupita UDSM wa-like hapa
 
Jibu ni rahisi hapo mbona ndio kilikuwa chuo kikuu cha mwanzo kabisa.

Ni sawa na uanze kuuliza madaktari na wafamasia wa 1963-2000+ utakuta 95% ni Muhimbili enzi hizo ikiiitwa Muhimbili University College Of Health Sciences (MUCHS) ambapo miaka ya 90 kilikuwa chini ya UDSM kama consistuent college ya UDSM kabla ya kuja kuwa na hadhi ya chuo kikuu 2007

Tofauti na hapo kama daktari hakusoma Muhimbili enzi hizo basi alisoma kupitia "schorlaship " katika nchi za kijamaa kama Cuba , muungano wa kisovieti (USSR), Hungary , Uingereza na baadhi ya nchi za Balkan.

Na hata baadhi waliporudi kutoka nje shahada zao za pili walifanyia hapo hapo MUCHS au Makerere Uganda maana hivi ndio vyuo vya mwanzo kabisa na vyenye reputation kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…