Elimu itolewayo vyuo vikuu!

Paul Kinala

New Member
Joined
May 30, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Jamani mi napenda kuishauri TCU ijaribu kutembelea mara kwa mara vyuo vikuu kuangalia elimu inayotolewa huko, Kwani kuna baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini elimu itolewayo ni sawa na mtu kwenda kuchukua cheti sio kupata elimu. kuna chuo kimoja sipendi kukitaja kwa jina kinatoa shahada ya uzamili ya elimu, kinachoshangaza matokeo yanakadiliwa kwakuangalia mtu usoni na hata wale wa shahada ya kwanza unakuta mwanachuo anaingia kwenye UE hajui course work yake!

Jamani hiki kizazi kitauzika sokoni?
 
Mkuu Paul Kinala Here we dare to speak out openly, wewe mwaga mchele tu usiogope maana JF hata Mkurugenzi mkuu wa TCU yupo pia hivyo utakuwa umeisaidia TCU na Taifa pia. Ni Chuo Gani hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…