Paul Kinala
New Member
- May 30, 2013
- 2
- 0
Jamani mi napenda kuishauri TCU ijaribu kutembelea mara kwa mara vyuo vikuu kuangalia elimu inayotolewa huko, Kwani kuna baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini elimu itolewayo ni sawa na mtu kwenda kuchukua cheti sio kupata elimu. kuna chuo kimoja sipendi kukitaja kwa jina kinatoa shahada ya uzamili ya elimu, kinachoshangaza matokeo yanakadiliwa kwakuangalia mtu usoni na hata wale wa shahada ya kwanza unakuta mwanachuo anaingia kwenye UE hajui course work yake!
Jamani hiki kizazi kitauzika sokoni?
Jamani hiki kizazi kitauzika sokoni?