Elimu jinsi CAF inavyo rank teams bora Afrika

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
INGIA kwenye hii page soma kwa makini fatilia kuanzia 2017 utaona simba ilipotoka na inapokwenda. CAF 5-Year Ranking - Wikipedia.
Kwa issue ya sasa na points zilivyo tafadhali angalia mwenyewe kama hujaridhika ongea na Mwakalebela umpe hela aka file malalamiko CAS au ongea na waandaaji wa kombe la mapinduzi wapeleke statistics za shots on targets za Michael Sarpong zitasaidia kuiweka club yako kwenye top 20.

Kwa wale mabingwa wa shots on targets Afrika tafadhali nenda hadi namba 69 ujiulize kwa nini una point 1 tangu 2017 HALFU PUNGUZA KIHERERE, ROHO MBAYA NA FITNA.
 
Utopolo ya 3. hongera
dah yaani jamaa hadi nawaonea huruma sema nimekuja ku realise hata hapa jamii forums watu siyo waelewa kama nilivyokuwa na assume,mtu anashangaa simba,gor mahia,rayon,kcca kuwa juu ya kizer chiefs, seriously?yaami watu wanatishika na wasouth kiasi hiko?
kweli simba hata kisaikolojia tuko mbali ndiyo maana utopolo kutwa kujaribu kututisha kuhusu kundi letu sisi tume relax tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…