Codename96
Member
- Sep 17, 2020
- 90
- 85
hutakwepa madalali biashara mjini ni ngumu sana bila hao viumbeHabari za asubuhi ndugu zangu.
Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni.
Naomba kuelimishwa utaratibu wa kuuza bidhaa sokoni kwa wale waliowahi kufanya biashara sokoni. Lakini pia ntashkuru sana kama ntashauriwa namna sahihi ya kufanya hii biashara kwa wale waliowahi kuifanya.
Kwa sasa nafikiria kufuata vitunguu kutoka mkoani. Lakini ikiwa kuna namna nyingine sahihi ya kupata bidhaa basi ntashkuru kwa ushauri.
Natanguliza shukrani.
Ina maana kila soko huwa lina madalali ?hutakwepa madalali biashara mjini ni ngumu sana bila hao viumbe
Kaka umeniacha kidogo hapo kwenye mama J. Ndio nani huyo ?Nenda masokoni pelekeza madalali wenye unafuu ili wakupe connection ya mama J
Huyo we achana naye sio muhimu tafuta soko la vitunguu utakutana naye shambani.Kaka umeniacha kidogo hapo kwenye mama J. Ndio nani huyo ?
Sawa Asante sana kwa ushauriHuyo we achana naye sio muhimu tafuta soko la vitunguu utakutana naye shambani.
"Kutokana na kukosekana kwa AJIRA" kwani hua tunafikiriaga ajira ni nn? Hicho ulichoamua kufanya ndio ajira yenyewe mkuu, iheshimu kama ajira zingine, ipe thamani kama kazi zingine yaan km wanavyoamka asubuhi kwenda 'ofisini' kwao the same applies na kwako hiyo ndio OFISI yako, tena wakikuuliza unafanya kazi gani waambie "niko wizarani, wizara ya kilimo idara ya wakulima wadogo wa biashara ya vitunguu" be proud of urself & kila la heri.Habari za asubuhi ndugu zangu.
Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni.
Naomba kuelimishwa utaratibu wa kuuza bidhaa sokoni kwa wale waliowahi kufanya biashara sokoni. Lakini pia ntashkuru sana kama ntashauriwa namna sahihi ya kufanya hii biashara kwa wale waliowahi kuifanya.
Kwa sasa nafikiria kufuata vitunguu kutoka mkoani. Lakini ikiwa kuna namna nyingine sahihi ya kupata bidhaa basi ntashkuru kwa ushauri.
Natanguliza shukrani.
Dah! We jamaa wewe 😂 sawa"Kutokana na kukosekana kwa AJIRA" kwani hua tunafikiriaga ajira ni nn? Hicho ulichoamua kufanya ndio ajira yenyewe mkuu, iheshimu kama ajira zingine, ipe thamani kama kazi zingine yaan km wanavyoamka asubuhi kwenda 'ofisini' kwao the same applies na kwako hiyo ndio OFISI yako, tena wakikuuliza unafanya kazi gani waambie "niko wizarani, wizara ya kilimo idara ya wakulima wadogo wa biashara ya vitunguu" be proud of urself & kila la heri.
Njoo singida, soko la vitunguu nitakuunganisha na madalali waaminifu mkikubaliana ukamwamini mtafanya biashara pasi na ww kuja utapokea mzigo wako ukiwa mkoa huko hukoHabari za asubuhi ndugu zangu.