chogo_mwamba
New Member
- Feb 7, 2022
- 4
- 3
Nalo neno..zakuambiwa changanya ....
Utaozea jela. Kwasababu chasis number itakua tofauti kwenye gari na kwenye kadi.Mkuu hivi kuweka plate namba ya gari nyingine iliyopata ajali, hv ukikamatwa na police siyo kosa kisheria kweli? ata mimi kuna jirani yangu gari yake ilikuwa namba B, gara siku hizi inasoma namba D, sijui akikamatwa itakuwaje?
Ndio kakaKonakona zote hizo no ili uonekane unaendesha range??