Elimu juu ya ugonjwa wa UKIMWI haitolewi ipasavyo mashuleni

Elimu juu ya ugonjwa wa UKIMWI haitolewi ipasavyo mashuleni

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Katika zama hizi hamasa ya kutoa elimu juu ya maradhi/gonjwa hatari la ukimwi haitolewi mashuleni. Jambo hili linapelekea watoto kushindwa kujiepusha na njia hatarishi za maambukizi ya ukimwi.

Tunaomba wizara husika Tamisemi na walimu wote watoe elimu kwa kina kwa wanafunzi juu ya maambukizi na athari za ugonjwa wa ukimwi ili tulinde kizazi chetu na maambukizi ya ukimwi.

UKIMWI upo na ni ugonjwa hatari unaoua.
 
Siku hizi mambo yapo wazi sana tofauti na siku za nyuma, ni kujiongeza tu ukipuuzia unaunganishiwa umeme uanze kulipia luku hata kama hujafanya makubaliano na TANESCO.
 
Sio kama kipind tunasoma yaan Kila mwalim akiingia lazma adodose kidogo ilitupa uwoga na kijiepusha na mengi ila Kwa Sasa watoto hawana elimu hiyo wao wanasikiaga na pia walimu wa Sasa hawako wazi kuzungumza hayo
 
Siyo ukimwi tu. Vitoto vidogo siku hizi vina genital warts za hatari.
Ukiangalia sehemu zao za siri unaweza kukimbia kama Usain Bolt
 
Back
Top Bottom