Katika zama hizi hamasa ya kutoa elimu juu ya maradhi/gonjwa hatari la ukimwi haitolewi mashuleni. Jambo hili linapelekea watoto kushindwa kujiepusha na njia hatarishi za maambukizi ya ukimwi.
Tunaomba wizara husika Tamisemi na walimu wote watoe elimu kwa kina kwa wanafunzi juu ya maambukizi na athari za ugonjwa wa ukimwi ili tulinde kizazi chetu na maambukizi ya ukimwi.
UKIMWI upo na ni ugonjwa hatari unaoua.