SoC02 Elimu katika wilaya ya Temeke

SoC02 Elimu katika wilaya ya Temeke

Stories of Change - 2022 Competition
Joined
Aug 11, 2022
Posts
16
Reaction score
10
Temeke ni moja ya wilaya ya dar es salaam mara nyingi imekuwa ikishika nafasi ya mwisho kimkoa .Jambo ambalo tunaweza jiuliza kwanini temeke kila mara inakuwa ya mwisho lakini jibu ni kwamba wilaya ya temeke ni wilaya yenye idadi kuwa ya watu Dar es salaam.

Je idadi inaweza kuwa sababu ya kuwa ya mwisho kitaaluma hapa jibu linaweza kuwa ndio au hapana . jibu linaweza kuwa ndio endapo shule itakuwa haina miundo mbinu ambayo itamuwezesha mwanafunzi kusoma katika mazingira bora mfano, kuwe na idadi yakutosha ya walimu vyumba vya madarasa, maktaba ambayo kwa upande wa madarasa serikali imefanikiwa kupitia madarasa ya uviko 19 changamoto imebaki katika rasilimali watu ambao ni walimu ambayo katika serikali wa awamu ya tano ilijaribu kutatua tatizo hili kwa kutumia mapato yake ya ndani kuajiri walimu wa sayansi chini ya mkurugenzi wake Mwakabibi ambayo kwa namna moja ama nyingine imewezesha shule za kata kushindana na shule maalumu kama chang'ombe na kibasila maana kwa namna moja ama nyingine ilipunguza uhaba wa walimu wa sayansi lakini katika kipindi cha awamu ya sita mambo yamekuwa tofauti ambayo mkurugenzi mpya kupunguza maslahi ya wale walimu ambao waliajiriwa kutokana na mapato ya ndani lakini sio ivyo tu lakini hata hayo maslahi yao yamekuwa takicheleweshwa sana ambayo mwalimu anakaa miezi miwili bila kupata posho yake, lakini pia imepunguza baadhi ya walimu wakati wanajua kuna shule zinawanafunzi wa kidato cha kwanza miatisa hadi elfu moja.

Je hii inaashiria nini kwamba mkurugenzi wa mwanzo halikosea kuajiri?

Je yeye aliwezaje kupata hela ya kuwalipa kwa wakati na katika kiwango cha elimu yao? Kwanini huyu amepunguza hicho kiwango lakini bado anashindwa kuwalipa kwa wakati. Je yeye haoni umuhimu wa hao walimu? Je anampango gani na elimu ya wanatemeke kwa ujumla maana ndio ilikuwa inapamvana kujitoa chini.
 
Upvote 0
Sehemu zote zenye waswahili wengi hazijawahi kuwa na mwamko wa kielimu..hilo likukae akilini wala usitafute mchawi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Shida sio uswahili bali ni idadi kubwa ya wanafunzi katika wilaya ya temeke maana kwa waliojiunga kidato cha kwanzo shule yenye idadi ya ndo ya wanafunzi ni 400 na idadi ya kubwa ni 1000 kwa kidato cha kwanza
 
Back
Top Bottom