Elimu kuhusu mabati ya nyumba

TBS wanaset standard range low-High value. Hapo sasa ndio kiwanda kinaamua kuweka bidhaa katika hizo ranges from low-High standard. Ndio maana kampuni nyingi za maji zinaruhusiwa na TBS lakini bado yanatofautiana ubora.
Hizo range maana yake ziko within acceptable standards. Itabaki tofauti ni mahitaji na bei ya mtu husika.
 
Hizo range maana yake ziko within acceptable standards. Itabaki tofauti ni mahitaji na bei ya mtu husika.
Yes ni acceptable lakini inaweza kuwa limited to time and other conditions ndio maana niliomba kujua kwa wajuzi zaidi. Mfano kwa watu wanaoishi maeneo karibu na bahari hushauliwa kutumia bati zinazohimili zaidi chumvi na sio kila bati ina sifa hizo.
 
sawa.
 
Senate sana kwa elimu. Naomba kujua mabati ya ALAF
SIMBA DUMU je ni mazuri?
 
ACHA tu mkuu.japo nilineemeka kwa kuuziwa yote kwa laki 6 tu,Lakini roho iliniuma Kama yangu aisee.
Yeye alikuwa kanunua milioni ngapi sio chini ya milioni 10. Alinunua wapi ni vyema hicho kiwanda tukijue tukikimbie tusile hasara
 
Yeye alikuwa kanunua milioni ngapi sio chini ya milioni 10. Alinunua wapi ni vyema hicho kiwanda tukijue tukikimbie tusile hasara
Kwa ushauri tu mkuu kanunue bati ALAF.Nilipaua kajumba fulani 1994 nikiwa mwanafunzi mkuu Hadi Leo paa Lina ng'aa halija pata kutu na nimekuwa nikitumia bati za ALAF sijawahi kujuta.bei imesimama kiduchu tu ila bati zao mkuu NASHINDWA NAMNA YA KUZISIFIA ITOSHE KUSEMA HAKUNA KAMA ALAF!!!!
 
Nimeshanunua mzigo wa kutosha Dragon nimeshapaua huu mwezi sa sita sasa
 
Nenda ALAF Mkuu.
Mkuu ninekwenda ila gharama zake ziko juu. Nimeona wao na kiboko kuna tofauti ya zaidi ya 1M kwa bati 100. Mwenye kuwaelewa kiboko vizuri anijuze. Nimeshauriwa kwa wenye macho madogo nisifike.
 
Mkuu ninekwenda ila gharama zake ziko juu. Nimeona wao na kiboko kuna tofauti ya zaidi ya 1M kwa bati 100. Mwenye kuwaelewa kiboko vizuri anijuze. Nimeshauriwa kwa wenye macho madogo nisifike.
Kwa uhakika nunua ALAF mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…