Elimu kuhusu mabati ya nyumba

Mkuu
Mkuu ninekwenda ila gharama zake ziko juu. Nimeona wao na kiboko kuna tofauti ya zaidi ya 1M kwa bati 100. Mwenye kuwaelewa kiboko vizuri anijuze. Nimeshauriwa kwa wenye macho madogo nisifike.
Mkuu kanunue kiwandani Kama Ni karibu wapo vizuri sana
 
Mkuu ninekwenda ila gharama zake ziko juu. Nimeona wao na kiboko kuna tofauti ya zaidi ya 1M kwa bati 100. Mwenye kuwaelewa kiboko vizuri anijuze. Nimeshauriwa kwa wenye macho madogo nisifike.
Wenye macho madogo ndio wana lead kwenye hii industry. Hata kama huwaoni dirrctly hivyo viwanda vyote ni vyao
 
Asante kwa uzi mzuri. Sasa, mimi nimeagiza mzigo toka China. Kila siku nayatazamatazama, nashindwa kujua nimepigwa au la. Uwezo wa kuyakagua kujiridhisha sina. Kila kukicha nayashikashika tu aisee. Hata kupima huo unene siwezi. Sijui nikanunue micrometer screw gauge au vernier caliper. Duh! Ya kwangu ni yale kama vigae, vipisi vidovidogo kisha yamecoatiwa ule kama mchanga wa msasa hivi na ni gauge 28.
 
Napenda kujua kuhusu bati za Alaf "Simba Dumu". Hizi bati ni bora? nimeona zimetengenezwa kwa madini ya Alluminium na Zink ambayo umeisifia kwa ubora.

Je tatafaa kwa Dar Es Salaam?

Yanadumu kwa muda gani

Hayana Rangi je inawezekana kupaka rangi yawe na muonekano wa mabati mengine ya rangi?
 
Hapa nipite juu kwa juu mana hata hatua mbili za eneo sina,, nianze kufuatilia mabati kweli[emoji848]
 
Daah hivyo vipimo unikumbusha mbali.
 
Mkuu ninekwenda ila gharama zake ziko juu. Nimeona wao na kiboko kuna tofauti ya zaidi ya 1M kwa bati 100. Mwenye kuwaelewa kiboko vizuri anijuze. Nimeshauriwa kwa wenye macho madogo nisifike.
sasa usifik je na wao ndio wenye viwanda vyote vyao.ukianza sanshe,skylimit,dagon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu nzuri sana. Shida ni kwamba tofauti na Pwani hujatoa recommendations za kina, pia hujasema kabisa upatikanaji au uwepo wa haya mabati hapa kwetu kulingana na ubora uliotaja. Kwamba mfano ungetuambia may be mabati ya Aluminium yanatengenezwa na kampuni X hapa Bongo
 
Hii sasa ni kutangaza au kuharibu biashara za watu wakati silipwi
 
Mabati yanauzwa kwa bei ya kutupa ni ya migongo mipana maarufu mabati ya msauzi yapo pc12 urefu upana cm85 gaji30 ni mita 3 au futi 10 rangi ya dark coffee yamebaki baada ya kumaliza kupaua kibanda changu kama inavoonekana hapo kweny picha hata rist yake ipo sio za wizi wala magumashi..

Mabati yamepanda sana Bei nilonunulia mimi ni 25,000/= kwa bati 1 lakini mimi nauza bati 1 kwa 16,000/= tu nmetoa sh elf9000 Kwenye kila bati 1 kwa anaehitaji aje tuyajenge sio lazima uwe ww unaweza kumwambia ndugu yako, rafiki, jamaa, jirani nk nicheki 0756695846, 0712776823 nipo dar tabata kinyerezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…