Elimu kuhusu mabati ya nyumba

Huu uzi umekuwa msaada kwa watu wengi
 
Okay Bei ulinunua bati 25000? Duuh
 
TBS wanaset standard range low-High value. Hapo sasa ndio kiwanda kinaamua kuweka bidhaa katika hizo ranges from low-High standard. Ndio maana kampuni nyingi za maji zinaruhusiwa na TBS lakini bado yanatofautiana ubora.
Correct
 

Inapendeza
 
Huu uzi watu wengi wanautafuta. Ndugu Philipo njoo hapa ujipatie maarifa then uchanganye na za kwako
 
Uzi mzuri ila haumsaidii msomaji, ungeweka wazi tununue mabati yapi, alaf, Ando, dragon au sunsare au king lion, Sasa umezunguka hata hatujakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…