docta seifu dodoma
Member
- Aug 11, 2017
- 61
- 78
Malezi ya mtoto akiwa tumboni.
Wataalam wa afya wamethibitisha kuwa baadhi ya vyakula vina uwezo mkubwa wa kujenga uwezo wa mtoto kujifunza na kujenga akili yake na vingine vinaweza kuharibu akili ya mtoto hata kabla hajazaliwa.
Baadhi ya vyakula ambavyo mama
anapaswa kula awapo mjamzito na vile anavyotakiwa kuviepuka katika kipindio hicho.
VITAMINI.
Kula vyakula vyenye vitamini kwa wingi kila siku. Wataalam wa afya wanaeleza kuwa ili kumjenga mtoto mama anapaswa kula vyakula vyenye folic acid na vitamini B12 ili kujenga seli nyekundu za damu, vitamini C kuzalisha collagen, vitamini D kwa ajili ya kujenga
mfupa, na zinki kwa ajili ya maendeleo ya ubongo.
PROTINI.
Wataalamu wanashauri kuwa, mjamzito anapwa kula vyakula vyenye utajiri wa protini kama vile samaki,vinaongeza nguvu ya ubongo wa mtoto aliye tumbo.
ulajiVwa samaki kwa wingi wakati wa ujauzito, hasa katika miezi sita mwanzo, kuna mchango wa kuujenga ubongo.
“Vyakula vyenye protini kwa wingi
hujenga seli muhimu kuufanya ubongoo wa mtoto kufanyakazi haraka,”
MATUNDA.
Baadhi ya matunda ambayo mama
anaweza kula ni machungwa, papai,
parachichi, ndizi mbivu na hata nyanya,huku akizingatia kuosha kwa maji safi kabla ya kula.
“Matunda yana virutubisho kwa ajili ya afya ya ubongo kwa kulinda tishu za eneo hilo zisiharibiwe,”
MADINI YA CHUMA.
Kula vyakula vyenye chuma kwa wingi.Wataalamu wa lishe wanaeleza kuwa ulaji wa vyakula vyenye madini ya chuma wakati wa ujauzito, husaidia katika usambazaji wa endelevu oksijeni kwa mtoto na kukabili tatizo la upungufu
wa damu.
TAHADHARI.
Jihadhari na pombe.matumizi yoyote ya pombe yana athari kwenye afya ya ubongo wa mtoto.
Jiunge sasa na Chuo chetu kwa njia ya Whatsapp,Kwa Ada ya 2000/Kwa mwezi Upate Elimu ya Tiba Asili.
Wasiliana na Dr.Seifu.dodoma.
0620144253./0769116206.
Sent using Jamii Forums mobile app