Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Niliwahi kuandika jamii forum kuhusu ili swala la kulipa ada na online education hili swala lipo hivi Tanzania kupitia wizara ya elimu haitambui elimu ya kujisomea nyumbani isipokuwa katika ngaz ya degree tuu hizo zingine chini haiwezekani hivyo mwanao akipata hyo elimu n kama tuition tuu mana hatopimwa kwa mtihani wowote wa kitaifa kupitia kumbukumbu ya elimu ya mtandao bali atapimwa kwa mtihani kwa kumbukumbu ya kuhudhuria darasani na kufanya mtihani
PIA HILI SWALA LA MTIHANI kipindi cha huu ugonjwa hyo ilikuwa n additional service ambayo haikuwa RASMI bali ilibidi kwa shule zenye uwezo na sio kila shule ilifanya na hakuna shule yoyote inayoweza ulizwa na wizara kwann hukutoa mitihani kipindi cha ugonjwa sababu wizara wanajua miundombinu ya kutoa elimu sio rafiki na standard za kutolea elimu in general bali n shule chache tuu ndo zinaweza hivyo swala la mtihani lilikuwa ni la kujiongezea tuu ili shule yako ionekane inajali vp elimu ya wanafunzi wake na kama wanachangisha basi hyo n biashara nyingine lakini naamini wizara haitambui huo mfumo
KINGINE ZILE SHULE NJAA ambazo lazima ulipe ada ndo tuweze kusurvive hz ndo nyingi na ndo zinazoleta mkanganyiko huku mtaani kwa wazazi sababu waliona wanaenda kukosa ada basi wakaanza kuforce tumitian ili wapate sababu ya kuchukua pesa yako ila kiukweli ile mitihani haitambuliki mahali popote sababu wizara ilishafunga shule tangu machi na mpaka sasa haijazifungua hivyo mitihani yote ni ya kumpa mazoezi tuu mwanafunzi kujali ubora wa shule ila sio mambo za kulipa ADA ILIPWE AU TUSILIPE kama januari ulitoa ADA mpaka Desemba basi hiyo ADA huwezi dai mana hili tatizo ni ajali kwa dunia na taifa tukiwemo pia kama sie ndo wale tunalipaga kidogo kidogo sisi haturuhusiwi kulipa ada kwa kipindi ambacho mtoto ayupo shule pia ikitokea wizara imefuta mwaka basi tunahaki ya kufidiwa ADA uliyotoa na ikitokea hili tatizo likaendelea kwa muda mrefu na serikali ikaamua kurusha mwaka basi shule haziruhusiwi kudai ADA wala wewe mzazi huna haja ya kuangaika kusikiliza wenye shule kuhusu kulipa ADA sababu unalipa unachotumia ndo mana mpaka sasa shule zimefungwa
KWA WALE AMBAO HAMNA MATATIZO YA FEDHA NA MNAPENDA KUJIONYESHA MNAHELA BILA KUFIKIRIA NI SAHIHI UNACHOLIPA AU LAH NYIE ENDELEENI KULIPA TUU ila kwasie ambao tulilipa ADA ya januari had likizo ya pasaka na mpaka sasa hatuoni dalili ya kupata ADA na tunaomba shule ziendelee kufungiwa TUU had septemba sie hatujisumbui kufikiri KULIPA ADA wala simu ya ile meseji ya kwenda kuchukua mtihani tena uende we mzazi tu hiyo sms hatuogopeshi na ADA hatulipi mpaka shule zitakapofunguliwa na tutalipia kuanzia huo mwezi kwenda mbele