Elimu kwa umma

Elimu kwa umma

OmmyQ

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
27
Reaction score
1
watafiti wa elimu wamebaini yakuwa hakuna taifa litakalo endelea bila kuwekeza kwenye elimu! Hellow wana JF mnalioneje hili ktk elimu ya kibongo ktk serikali ya kikwete?
 
Bila ya ELIMU watatoka wapi WATAALAMU mbali mbali kama vile ENGINEERS,DOCTORS,TEACHERS AND OTHERS, ambao ndo chanzo cha maendeleo popote duniani, SO (EDUCATION FOR THE DEVELOPMENT)
 
Back
Top Bottom