HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Wanaangushwa na CCM kwa hapa Tanzania ama serikali tawala kwenye nchi zao. ushawahi kuona kiongozi yeyote wa CCM ana akili timamu?Huu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?
Mbona hao ambao hawana elimu wana hali mbaya zaidi, wengine wanaogopa hata kuandika namba zao za siri wakati wa kutoa pesa kwa wakala.Huu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?
We pia mjingaHuu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?
Inazalisha wasomi wavivu wa kufikiri,wabinafsi na wezi.Huu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?
Tatizo sio wasomi wetu, tatizo ni mifumo yetu. Sisi tumewekeza kwenye siasa wenzetu wamewekeza kwenye maarifa. Kupanga ni kuchaguaAfrika bado sana, hakuna elimu, Hii kidogo iliyoletwa na wakoloni imepitwa na wakati na haikidhi mahitaji ya waafrika kama sehemu ya dunia, hakuna ugunduzi na ubunifu kwa maendeleo ya nchi na ulimwengu kwa ujumla
maarifa ni lazima yapatikane kwa kila mtu anayeyataka. Umewahi kuona wapi mtu anataka maarifa ya chuo kikuu akayapata kirahisi? Ni wachache sana wanayapata, tena kwa ubaguzi na upendeleo fulani uliopangwa systematicallyAcheni dharau kwa elimu nyie... maarifa NI kitu kikubwa na muhimu sana
Achilia mbali ugunduzi na ubunifu huko umeenda mbali mno yaani hawawezi hata kutumia logic ndogondogo tu kwenye kufanya mipango na kufanya maamuzi kwenye mambo mbalimbali.Afrika bado sana, hakuna elimu, Hii kidogo iliyoletwa na wakoloni imepitwa na wakati na haikidhi mahitaji ya waafrika kama sehemu ya dunia, hakuna ugunduzi na ubunifu kwa maendeleo ya nchi na ulimwengu kwa ujumla
Afrika bado sana, hakuna elimu, Hii kidogo iliyoletwa na wakoloni imepitwa na wakati na haikidhi mahitaji ya waafrika kama sehemu ya dunia, hakuna ugunduzi na ubunifu kwa maendeleo ya nchi na ulimwengu kwa ujumla
Usomi ni nini?Huu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?
Ngoja nimsaidie kujibu.Usomi ni nini?
Kwa definition hii, hawa wanaosemwa sio wasomi.Ngoja nimsaidie kujibu.
Usomi ni ile hali ya kuwa na uono wa hali ya juu kwenye kufanya maamuzi/mipango mbalimbali na kuweza kuyakabili mazingira yanayokuzunguka kikamilifu kwa kutumia elimu uliyoipata.
Wewe una properties kama za wale jamaa wanajiita wachokonozi huwa hawakubali kushindwa kila hoja lazima waipindishe hadi washinde.Kwa definition hii, hawa wanaosemwa sio wasomi.