Elimu kwa waafrika inazalisha wasomi wajinga!!

Elimu kwa waafrika inazalisha wasomi wajinga!!

Wewe una properties kama za wale jamaa wanajiita wachokonozi huwa hawakubali kushindwa kila hoja lazima waipindishe hadi washinde.
Ninanukuu:
Mchokonozi:Hii nchi inaongozwa na watu wa kawaida wasio na upeo wa juu
Mwandishi:Sasa kama nchi inaongozwa na watu wenye upeo wa chini ni kwa nini nyinyi wenye upeo wa juu mmeshindwa kuiongoza na kwa nini mnakubali kutawaliwa na watu wenye upeo wa chini?
Mchokonozi:Sisi hatujashindwa ila tunashangaa.
Hahahaha
Mkuu,

Nasikia Wachokonozi waliachiwa halafu hapohapo wakarudishwa lupango tena?

Hapa tuna tatizo la definition.

Definition ya "msomi" inayokubalika na watu wengi ni potofu.

Tuna ulimbukeni wa vyeti, na mtu yeyote aliyepitia shule nankupata vyeti fulani anaiywa msomi.

Wakati tumepata definition ya usomi ambayo hata haina neno cheti.
 
Yeah walishikwa tena.
Hapo nimekuelewa vizuri sana mantiki yako.
Kuna watu wanavimba na kujiita wasomi baada ya kupata makaratasi lakini kichwani ni empty set.
Si unaona yule mbunge Msukuma vyeti hana lakini anawaprove wrong mawaziri na wabunge wanaojiona ni wasomi ila thinking/reasoning capacity yao iko chini sana.
 
Back
Top Bottom