Mkuu,
Nasikia Wachokonozi waliachiwa halafu hapohapo wakarudishwa lupango tena?
Hapa tuna tatizo la definition.
Definition ya "msomi" inayokubalika na watu wengi ni potofu.
Tuna ulimbukeni wa vyeti, na mtu yeyote aliyepitia shule nankupata vyeti fulani anaiywa msomi.
Wakati tumepata definition ya usomi ambayo hata haina neno cheti.