mimi ni mdau muhimu sana katika idara ya elimu maalum, kwanza kabisa elimu maalumu ni elimu ihusuyo au inayojali makundi yote ya watu wenye ulemavu mbalimbali, kama vileya watu wenyeuoni hafifu(low vision) auambao hawaoni kabisa(blind), ulemavu wa masikio(viziwi), kutokusema (mabubu), wenye ulemavu wa akili(utindio wa ubongo), ulemavu wa viungo, (physical disabilities), na ndugu xwngu walemavu wa ngozi. mara baada ya utangulixi huo sekomu (SEBASTIAN KOLOWA MEMORIAL UNIVERSITY) ni chuo pekee Tanzania kinachotoa elimu maalum katika maeneo hayo niliyoyataja udom wanatoashahada iliyochini ua viwango nawasihi wadogo xsngu mtakaochaguliwa ktk hiki chuo mjipange chuo kina manyanyaso
mabaya sana na kwa bahati mbaya chuohiki wenye hisa kubwa ni viongoxi wakubwa wa ccm kama vile mkapa rais mstafu kero za wanachuohuwa zinagonga mwamba sana ila tunaamini manyanyaso haya tukiungana wanachuo bila vitisho yutsyashinda hiki chuo si utani ni shidaaaaa