SoC02 Elimu na uhalisia

SoC02 Elimu na uhalisia

Stories of Change - 2022 Competition

Legend46

Member
Joined
Aug 12, 2022
Posts
7
Reaction score
1
Taasisi za elimu lazima zipime uwezo na ujuzi wa wanafunzi na sio kumbukumbu zao. Leo hii mitihani inawasukuma wanafunzi kuhifadhi topic zaidi ili wapasi mitihani yao badala ya kupima ujuzi wao wanaoupata.

Matokeo yake wahitimu wanakua na vyeti vizuri lakini uwezo wa ujuzi unakua mdogo. Ndio maana kuna utofauti mkubwa zaidi baina ya wahitimu wa vyuo vya ufundi na vyuo vikuu.

Wa vyuo vikuu wengi wao hawawezi kujiajiri, Inapelekea vijana wengi kua mtaani. Elimu huathiri hata sekta ya viwanda na kupelekea raia kutokua na imani na baadhi ya bizaa za nchini hasa za kisayansi na teknolojia.

Nashauri kuwe na mabadiliko kama vile kutoa kipaumbele katika kutoa ujuzi zaidi.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom