KishimbaJr
Member
- Jul 25, 2022
- 75
- 67
Kabisa, Ngoja Watalaam Waje Watusaidie Na Cost Zake Zipoje, Je Ni Kwa Sqm Au Kwa Futi Au Ni Makubaliano General??Faida ni nyingi kuliko hasara. Kwa upande wangu faida ninayoiona mojawapo ni kuzuia vumbi hasa kama umesafiri lisiingie ndani kwa wingi. Pia ni mepesi
Wataalam watatupa za kiufundi zaidi
Mbu wanaingia kwasababu ya nafasi inayobaki baina ya shata na shata. Kuna kirubber huwa kinawekwa lakini mafundi wengi hawaweki na nawaelewa kwasababu wateja wanapenda kuwalalia sasa wanaondoa vitu ambavyo wanahisi vitapunguza gharama.Wakuu Habarini Za Mchana, Naomba Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada, Naomba Kupewa Elimu Na Ushauri Sahihi Juu Ya Uwekaji Wa Madirisha Ya Aluminium, Faida Zake Na Hasara Zake, Pia Ni Kwann Wengine Wanaripoti Kwamba Mbu Wanaingia Kwenye Madirisha Hayo?
Na Je Ni Taratibu Zipi Za Kufuata Katika Uwekaji Wa Madirisha Hayo Ili Kuwa Imara Na Kudumu Kwa Muda Mrefu Bila Kero Zozote Hususani Kwa Madirisha Makubwa Ya Futi 8 Na Kuendelea. Naomba Kuwasilisha[emoji120]
Hawa Waturuki naweza kuwapata wapi Kwa hapa dar?Mbu wanaingia kwasababu ya nafasi inayobaki baina ya shata na shata. Kuna kirubber huwa kinawekwa lakini mafuni wengi hawaweki na nawaelewa kwasababu wateja wanapenda kuwalalia sasa wanaondoa vitu ambavyo wanahisi vitapunguza gharama.
Ugumu wa dirisha au mlango wa aluminium unatokana na kioo kilikowekwa kwenye frem otherwise bila kioo zile frem zinalegea. Hakikisha unaweka kioo cha 5mm fundi asikudanganye akakuwekea cha 4mm.
Aluminium inadumu kuliko upvc japo upvc ina mwonekano mzuri zaidi na waturuki wakikuwekea upvc wanajitahidi wasiache gap.
Kumbe Na Mijusi Tena?? Mi Nikajua Ni Mbu Tu[emoji2962]Fundi asipopima vipimo vizuri, mijusi haitakauka ndani
Sawa Naomba Kuuliza Pale Wanaposema Double Glass Design Au Single Glass Design Ipi Bora Na Ipi Imara?? What About Profile Wanaposema 8cm Na 10cm Je Dirisha La Futi 8/9/10 Naweza Kuweka Tu Sheet Ya 5mm Ikiwa Ni Single Glass Au Ni Lazima Kuweka Double Glass?? Umuhimu Ni Upi Na Ulazima Ni Upi Hapo? #AhsanteFaida za alminium ni nyingi kuliko hasara.
Kwa upande wa faida alminium inaipa nyumba muonekano mzuri Sana. Vilevile inazuia maji kuingia ndani kipindi Cha mvua N.k
Hasara.
1.kupitisha mbu dirisha za alminium huwa zinawavu maalum kwaajili ya kuzuia mbu na wadudi wengine kuingia ndani pindi utakapo kuwa umefungua kioo ili kupata hewa. Huweza kupitisha mbu au wadudu wengine endapo fundi hatoweka wavu maalum au mtumiaji kufungua kioo na wavu kwa pamoja.
2. Dirisha za ventilation endapo utafunga vioo vyote, hii husababisha joto ndani. Tegemea kukuta joto Kali Sana au hewa nzito ndani ya nyumba Yako endapo utafunga madirisha na milango kwa siku kadhaa.
Hivyo, ni vizuri ukamshauri fundi anaekitengenezea dirisha za alminium, kwenye kipande kidogo Cha juu Cha dirisha asiweke kioo na badala yake aweke louvers ambazo zinapitisha hewa safi na hazipitishi maji kwenye pindi Cha mvua.
Pichani kwenye kipande Cha juu Cha dirisha ni louvers za kupitishia hewa ikiwa chini ni kioo kama kawaida ilikuongeza ventilation ndani ya nyumba. View attachment 2509259
Hizi louvers zinakuwa ni katika flam ya aluminium na wavu au? Sijaona hii kitu, kila mtu naona hawekagi hii kituFaida za alminium ni nyingi kuliko hasara.
Kwa upande wa faida alminium inaipa nyumba muonekano mzuri Sana. Vilevile inazuia maji kuingia ndani kipindi Cha mvua N.k
Hasara.
1.kupitisha mbu dirisha za alminium huwa zinawavu maalum kwaajili ya kuzuia mbu na wadudi wengine kuingia ndani pindi utakapo kuwa umefungua kioo ili kupata hewa. Huweza kupitisha mbu au wadudu wengine endapo fundi hatoweka wavu maalum au mtumiaji kufungua kioo na wavu kwa pamoja.
2. Dirisha za ventilation endapo utafunga vioo vyote, hii husababisha joto ndani. Tegemea kukuta joto Kali Sana au hewa nzito ndani ya nyumba Yako endapo utafunga madirisha na milango kwa siku kadhaa.
Hivyo, ni vizuri ukamshauri fundi anaekitengenezea dirisha za alminium, kwenye kipande kidogo Cha juu Cha dirisha asiweke kioo na badala yake aweke louvers ambazo zinapitisha hewa safi na hazipitishi maji kwenye pindi Cha mvua.
Pichani kwenye kipande Cha juu Cha dirisha ni louvers za kupitishia hewa ikiwa chini ni kioo kama kawaida ilikuongeza ventilation ndani ya nyumba. View attachment 2509259
Hata hivyo mijusi inakula mbu, Mimi sioni kama ni tatizo.Kumbe Na Mijusi Tena?? Mi Nikajua Ni Mbu Tu[emoji2962]
Double glass lazima itakua imara kwa kuwa vioo vinakuwa doubled tofauti na single glass ila gharama yake kimatengenezo ni kubwa kulinganisha na single glass.. kuhusu profile cm10 ndio chuma strong zaid so ukiweka kioo cha 5mm inakuwa better lakini ukiweka double glass na profile ya cm10 nayo inakuwa imara na muonekano mzuri zaidi kwa dirisha za kuanzia futi 8 na kuendelea ni muhimu zaidi kutumia profile ya cm10, no matter itakua ni single glass ama double glass . Kama fundi nikiambiwa nimshauri mteja nitamwambia atumie 10cm single glass ya 5mm inatosha sana na ni hai kwa dirisha kubwa za kuanzia 7,8 na kuendeleaSawa Naomba Kuuliza Pale Wanaposema Double Glass Design Au Single Glass Design Ipi Bora Na Ipi Imara?? What About Profile Wanaposema 8cm Na 10cm Je Dirisha La Futi 8/9/10 Naweza Kuweka Tu Sheet Ya 5mm Ikiwa Ni Single Glass Au Ni Lazima Kuweka Double Glass?? Umuhimu Ni Upi Na Ulazima Ni Upi Hapo? #Ahsante
Whaf If Akaweka Shata 3/3 Na Venti Kwa Madirisha Ya Futi 7/8 Kwa Kutumia Chuma Cha 8cm Na Kioo Cha 5mm??Double glass lazima itakua imara kwa kuwa vioo vinakuwa doubled tofauti na single glass ila gharama yake kimatengenezo ni kubwa kulinganisha na single glass.. kuhusu profile cm10 ndio chuma strong zaid so ukiweka kioo cha 5mm inakuwa better lakini ukiweka double glass na profile ya cm10 nayo inakuwa imara na muonekano mzuri zaidi kwa dirisha za kuanzia futi 8 na kuendelea ni muhimu zaidi kutumia profile ya cm10, no matter itakua ni single glass ama double glass . Kama fundi nikiambiwa nimshauri mteja nitamwambia atumie 10cm single glass ya 5mm inatosha sana na ni hai kwa dirisha kubwa za kuanzia 7,8 na kuendelea
Whaf If Akaweka Shata 3/3 Na Venti Kwa Madirisha Ya Futi 7/8 Kwa Kutumia Chuma Cha 8cm Na Kioo Cha 5mm??
Nayo ni vizuri zaidi kuweka shata 3 kwa profile ya cm8 kwa kuwa shata zinakuwa ni nzito sana so disturbance itakuwa kwenye rola kutokana na mzigo uliopo juu (kioo)hasa ukizingatia rola za cm8 ni ndogo kuliko za cm10, so ikiwa utatumia profile cm8 hakikisha shata zinakua 3 kwa madirisha makubwa hio itapelekea shata kutembea kwa urahisiWhaf If Akaweka Shata 3/3 Na Venti Kwa Madirisha Ya Futi 7/8 Kwa Kutumia Chuma Cha 8cm Na Kioo Cha 5mm??
Hauna picha ya dirisha la doubleglassNayo ni vizuri zaidi kuweka shata 3 kwa profile ya cm8 kwa kuwa shata zinakuwa ni nzito sana so disturbance itakuwa kwenye rola kutokana na mzigo uliopo juu (kioo)hasa ukizingatia rola za cm8 ni ndogo kuliko za cm10, so ikiwa utatumia profile cm8 hakikisha shata zinakua 3 kwa madirisha makubwa hio itapelekea shata kutembea kwa urahisi
Hauna picha ya dirisha la doubleglass
Ooh sawa hapo nimeelewa
Karibu sana kwa maelezo kuhusu aluminiumOoh sawa hapo nimeelew