Elimu na ushauri juu ya uwekaji wa madirisha ya aluminium

Ni tech gani inatumika kuziba gap kati ya ukuta na aluminium?.
Unatumia SILICONE SEALANT kikopo kimoja kinauzwa Tsh 5000
Sasa hii ni lazima kuwekwa na fundi ila ukimlalia bei ipungue haweki maana dirisha 1 linaweza chukua kopo hata 4/5 kwa madirisha 5 hapo hasara kwake.
Mijusi na wadudu wengine lazima tu uishi nao ndani.
 
Kuna nyumba niliwahi kuishi, nikawa nashangaa, mijusi, mbu n.k wanaingiaje ndani wakati hadi chini ya mlango nilikuwa naziba fresh tu.
 
Unatumia SILICONE SEALANT kikopo kimoja kinauzwa Tsh 5000
Sasa hii ni lazima kuwekwa na fundi ila ukimlalia bei ipungue haweki maana dirisha 1 linaweza chukua kopo hata 4/5 kwa madirisha 5 hapo hasara kwake.
Mijusi na wadudu wengine lazima tu uishi nao ndani.
Hakuna material nyingine mfano wa rubber au sponge...!?
 
1. Zingine unaweza kuchukua mabox unalowanisha na gundi unafanya kuziba vipenyo

2. Fundi kuchapia na cement. Hii kidogo itakuwa ngumu kusafishia ndani, kwa nje inaweza leta picha kama umeweka copro

3. Grouts pia inafaa kuzibia

4. Kuna zile soltape za two ways nyeupe nimesahau jina unaweza tumia pia
 
Back
Top Bottom