Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaaa.....wadudu ndio ecolojia yenyeweUnatumia SILICONE SEALANT kikopo kimoja kinauzwa Tsh 5000
Sasa hii ni lazima kuwekwa na fundi ila ukimlalia bei ipungue haweki maana dirisha 1 linaweza chukua kopo hata 4/5 kwa madirisha 5 hapo hasara kwake.
Mijusi na wadudu wengine lazima tu uishi nao ndani.
Huu uzi umenisaidia sanaWakuu Habarini Za Mchana, Naomba Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada, Naomba Kupewa Elimu Na Ushauri Sahihi Juu Ya Uwekaji Wa Madirisha Ya Aluminium, Faida Zake Na Hasara Zake, Pia Ni Kwann Wengine Wanaripoti Kwamba Mbu Wanaingia Kwenye Madirisha Hayo?
Na Je Ni Taratibu Zipi Za Kufuata Katika Uwekaji Wa Madirisha Hayo Ili Kuwa Imara Na Kudumu Kwa Muda Mrefu Bila Kero Zozote Hususani Kwa Madirisha Makubwa Ya Futi 8 Na Kuendelea. Naomba Kuwasilisha[emoji120]
Sio kwamba maeneo unayokaa yana vumbi sana na watu wa nyumbani mwako hufungulia madirisha?Naomba kuuliza, dirisha fundi alizoniwekea Zina pitisha vumbinmno, sielewi nifanyaje
Mkuu karakana yako iko wapi?Double glass lazima itakua imara kwa kuwa vioo vinakuwa doubled tofauti na single glass ila gharama yake kimatengenezo ni kubwa kulinganisha na single glass.. kuhusu profile cm10 ndio chuma strong zaid so ukiweka kioo cha 5mm inakuwa better lakini ukiweka double glass na profile ya cm10 nayo inakuwa imara na muonekano mzuri zaidi kwa dirisha za kuanzia futi 8 na kuendelea ni muhimu zaidi kutumia profile ya cm10, no matter itakua ni single glass ama double glass . Kama fundi nikiambiwa nimshauri mteja nitamwambia atumie 10cm single glass ya 5mm inatosha sana na ni hai kwa dirisha kubwa za kuanzia 7,8 na kuendelea