Kuna mtu humu namjua amesoma IST afu Yuko simpo sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nimecheka had watu wananishangaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu mna maneno, khaaah
Exactly [emoji817]Unapaswa ufahamu kuwa Feza hiyohiyo unayoijua wewe Kuna upande wa pili wanafata mtaala wa Cambridge na ada zao huwa ndefu pia.
Hahaaaaaaaa....dahAnashiriki ndondo anasuburi matokeo ya EPL [emoji16]
Hahahaahaaa...acha kabisaaaaTutafute pesa kwa kweli mi nililipa laki sita tu ya ada na laki na ishirini ya usafiri kidogo kichwa kipasuke kama bisi.Njia nzima najishauri tu .
Unafikiri huyo mtoto anatembea barabarani kama watoto wa St Kayumba? Ana ulinzi wa kutosha huyoUmefanya makosa kutaja shule anayosoma mtoto wa Diamond. Watu wenye nia mbaya wanaweza kum kidnap na kumtaka ransom kuutoka kwa wazazi wake. Naamini hata Braeburn School wakiona hii thread hawatapendezwa
SahihiKuna mtu humu namjua amesoma IST afu Yuko simpo sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Bado hujasemaHuwez kushindana na muuza unga
Ana roho ya kwann mpaka anashindwa ku-reasonhio shule gani wanasoma miaka 24 ?
Anahela gani mpaka mtoto wake atekwe?Umefanya makosa kutaja shule anayosoma mtoto wa Diamond. Watu wenye nia mbaya wanaweza kum kidnap na kumtaka ransom kuutoka kwa wazazi wake. Naamini hata Braeburn School wakiona hii thread hawatapendezwa
Zombii eehh!!!Aloo
🤣🤣🤣🤣Ana roho ya kwann mpaka anashindwa ku-reason
Tanasha DonnaHuyo Junior mama yake ni nani?
Wewe Ndio una helaAnahela gani mpaka mtoto wake atekwe?
Unajua ukisema ulee watoto ki-local vile sisi tulilelewa baadhi ya Wazazi tungeweza kuendesha na kumiliki Range rovers sports kabla ya miaka 45.Anamnunulia Mkewe reeeenjiiii
Ni kweli MkuuBado umepambana Sana kaka hata hvyoo
We huoni hali itakavyokuwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kwann lakini?
Bibi yake wakati alipost insta, kuhusu mjukuu kuanza shule kavaa uniform.Anahela gani mpaka mtoto wake atekwe?
Tanasha kakosa Ela kwa kupitia mtoto, ndomana walijiweka karibu ili wamchukue kuja kusoma huku, zari mjanja bado anazira ndomana utajiri unazidi tu.Tanasha Donna
Yule hana njaa kama dada zetu wa kibongo yeye alitaka umaarufu tu sio pesaTanasha kakosa Ela kwa kupitia mtoto, ndomana walijiweka karibu ili wamchukue kuja kusoma huku.