Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Umefanya makosa kutaja shule anayosoma mtoto wa Diamond. Watu wenye nia mbaya wanaweza kum kidnap na kumtaka ransom kuutoka kwa wazazi wake. Naamini hata Braeburn School wakiona hii thread hawatapendezwa
Anahela gani mpaka mtoto wake atekwe?
 
Bado umepambana Sana kaka hata hvyoo
Ni kweli Mkuu

Ukisema utumie kununua Vits kwaajili ya biashara ya Uber/bolts utakuta kila Mwaka mmoja unanunua Vits Mpya kutoka Japan, baada ya miaka 5 unakuta uko mbali aisee
 
Back
Top Bottom